BBC News, Swahili - Habari
Habari kuu
Afrika Kusini: Viti vya Bunge la kitaifa vyatangazwa, ANC yapoteza vingi
Tume ya uchaguzi imetangaza jinsi viti vya ubunge vitakavyogawanywa katika Bunge la Kitaifa lenye wabunge 400.
Jinsi mwanamke wa Urusi anavyowasaidia mamluki wa zamani wa Wagner
Takribani wafungwa 50,000 wa Urusi walikwenda kupigana vitani, kwani waliahidiwa kusamehewa ndani ya miezi sita na malipo makubwa ya pesa taslimu baada ya kurejea.
Miili yetu hutoa mawe ya aina gani na tunawezaje kuyazuia?
Mtu mmoja kati ya 10 hupata tatizo la mawe kwenye figo, ambayo yanaweza kuzuia mtiririko wa mkojo. Je, ni aina gani nyingine ya mawe hutokea katika mwili?
Tetesi za soka Ulaya Jumapili 02.06.2024
Manchester City wanataka kumkabidhi Erling Haaland mkataba mpya na Arsenal wameiuliza Barcelona kuhusu Mikayil Faye.
Matokeo rasmi ya uchaguzi Afrika kusini kutangazwa Jumapili
Matokeo rasmi ya uchaguzi mkuu Afrika kusini yanatarajiwa kutangazwa Jumapili jioni, afisa mmoja wa tume anasema.
Hakuna usitishaji vita Gaza hadi malengo ya vita vya Israel yatimie - Netanyahu
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesisitiza kuwa hakutakuwa na usitishaji vita wa kudumu huko Gaza hadi pale uwezo wa kijeshi na uongozi wa Hamas utakapoangamizwa na mateka wote waachiliwe.
Biden azindua pendekezo la Israel la kumaliza vita na Gaza
Rais wa Marekani Joe Biden amewataka Hamas kukubali pendekezo jipya la Israel la kumaliza mzozo wa Gaza.
Yanga yaweka rekodi Afrika, taji la kwanza Ligi Kuu kileleni Kilimanjaro
Klabu ya Yanga ilitwaa taji lake la 30 la Ligi Kuu Tanzania Bara wakiandika historia
ANC chaelekea kugawana madaraka baada ya kushindwa katika uchaguzi
Chama tawala nchini Afrika Kusini kinatazamiwa kupata matokeo mabaya zaidi tangu kiingie madarakani miaka 30 iliyopita.
Jennifer Lopez afuta ziara yake ya Marekani
Jennifer Lopez amesema "amesikitika" sana baada ya kufuta tamasha lake la moja kwa moja nchini Marekani.
Michezo
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani
Sikiza / Tazama
Gumzo mitandaoni
Urusi yaonya Magharibi kuwa Ukraine inaweza kuishambulia kwa silaha zake
Urusi imeishutumu Nato na Marekani kwa kuruhusu jeshi la Ukraine kutumia silaha zinazotolewa na nchi za Magharibi kushambulia maeneo ndani ya Urusi.
Tutakula nini kwenye safari za kwenda angani?
Misheni za kwenda angani na ongezeko la miradi ya utalii ya anga za juu, inazua swali moja, tutakula nini tukifika huko?
Champions League: Uzito wa fainali kati ya Real Madrid na Borussia Dortmund huko Wembley
Meneja wa Real Madrid Carlo Ancelotti anasema wachezaji wake watahisi msisimko wa fainali ya ligi ya mabingwa watakapokutana na Borussia Dortmund huko Wembley.
Nani yuko juu, nani yuko chini katika uchaguzi wa Afrika Kusini - na kwa nini?
Chama tawala nchini Afrika Kusini cha African National Congress (ANC) kinaelekea kupoteza wingi wake wa wabunge kwa mara ya kwanza tangu Nelson Mandela alipokiongoza kwa ushindi mwishoni mwa mfumo wa ubaguzi wa rangi mwaka 1994.
Ufahamu 'muguka', mmea uliozua gumzo la kibiashara na kijamii Kenya
Gumzo kali limeibuka miongoni mwa Wakenya kuhusiana na uuzaji na utumiaji wa majani ya muguka.
Afya: Magonjwa matatu yanayohusishwa na bakteria wa kinywa
Mdomo ni mahali ambapo sehemu nyingi za mwili wa mwanadamu hukutana na kuna zaidi ya aina 700 za bakteria katika eneo hilo.
Urusi: Kwanini maafisa wa ngazi ya juu wa jeshi wanakamatwa?
Jenerali wa Urusi Vadym Shamarin, amekamatwa. Hii ni mara ya nne kukamatwa afisa wa ngazi ya juu wa Urusi ndani ya mwezi mmoja. Kwanini?
Faida nane za chai katika kupambana na magonjwa
Mei 21 huadhimishwa kama Siku ya Chai Duniani. Je, unazijua faida za chai?
Yote unayopaswa kujua kuhusu uchaguzi wa Afrika Kusini 2024
Leo 29 Mei, karibu wapiga kura milioni 28 wa Afrika Kusini waliojiandikisha wana nafasi ya kuchagua wawakilishi katika mabunge ya kitaifa na majimbo.
Israel inatabiri kuwa vita na Hamas vitaendelea hadi angalau mwisho wa mwaka
Mshauri wa usalama wa taifa wa Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu, Tzachi Hanegbi, amesema anatarajia mapigano huko Gaza kuendelea hadi angalau mwisho wa mwaka huu.
Waridi wa BBC: Mazungumzo binafsi yalivyogeuka mazungumzo kwa wengi
“Binti anavaa kofia nyingi kwa wakati mmoja, una nguvu ya kutengeneza mabadiliko chanya, anza kuwa bora kwa kuwavutia wengine.”
Tuyajenge
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 3 Juni 2024, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 31 Mei 2024, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 31 Mei 2024, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 31 Mei 2024, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki